ndugu zangu kwa mda mrefu nimekuwa siweki updates katika blog yangu hii inatokana na bize kidogo ya Semister exams. naahidi kuanzia tarehe 6/2/2012 tutakuwa tukichambua habari muhimu za maendeleo ya elimu ktk wilaya yetu. tarehe 5/2/2012 kutakuwa na maboresho ya blog yetu, tutegemee mambo mazuri.......
wenu
EMILIAN BARONGO
elimukwetu manager.
Sunday, January 29, 2012
Sunday, January 1, 2012
Nilivyopania kuinua kiwango cha Elimu Sengerema.
Ndugu zangu nikiwa kama mkazi na mwanafunzi niliyesoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne katika wilaya ya Sengerema nimepania kunyanyua kiwango cha elimu katika wilaya yangu kwa kutoa huduma za kielimu kwa bei nafuu......nitazielezea hapo baade huduma ninazozito. Naomba wakazi wa Sengerema na Mwanza kwa ujumla wenu mniunge mkono.
Elimu Sengerema
ndugu zangu kiwango cha elimu katika wilaya yetu ya Sengerema kinazidi kuzorota, wakazi tunahitaji kuwekeza nguvu nyingi atika kuinua kiwango cha elimu wilayani Sengerema na mkoani Mwanza kwa Ujumla. hayo niliyagundua tarehe 23/09/2011 nilipohuzuria mahafali ya kidato cha nne katika shule ya sengerema sekondari moja ya shule zenye historia kubwa nchini Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)